Vidokezo 9 vya Afya Unapaswa Kujua Ikiwa Unajali Afya Yako

- Ikiwa unajali mapafu yako epuka kuvuta sigara.
- Ikiwa unajali moyo wako, epuka chumvi kupita kiasi.
- Ikiwa unajali ini lako, epuka chakula chenye mafuta mengi.
- Ikiwa unajali tumbo lako, epuka chakula baridi.
- Ikiwa unajali utumbo wako, badilisha chakula cha kusindika na penda kutumia mboga mboga.
- Ikiwa unajali kongosho yako, epuka kula kupita kiasi.
- Ikiwa unajali figo zako: kunywa maji mengi wakati wa mchana; kunywa maji kidogo wakati wa usiku; kojoa kabla ya kwenda kulala.
- Ikiwa unajali ubongo wako, lala kwa masaa 8 kati ya kila saa 16.
- Ikiwa unawajali wengine, waambie haya.
0 Comments